Nargis
Nargis Dutt (jina la kuzaliwa: Fatima Rashid lakini alifahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Nargis[1]; kwa Kihindi: नर्गिस, kwa Kiurdu: |نرگس J: 1 Juni 1929 – 3 Mei 1981) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka India. Huhesabiwa kama mmoja kati ya waigizaji filamu bora katika historia ya sinema za Kihindi.
Nargis | |
---|---|
Amezaliwa | Fatima Rashid 1 Juni 1929 Calcutta, West Bengal, Uhindi ya Kiingereza |
Amekufa | 3 Mei 1981 (umri 51) |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1935, 1942 – 1967 |
Ndoa | Sunil Dutt (1958 – 1981) (mpaka kifo chake) |
Watoto | Sanjay Dutt Anju Priya Dutt |
Alipata kuonekana kwa mara ya kwanza akiwa kama mtoto kwenye seti ya Talash-E-Haq mnamo 1935, lakini kazi yake ya uigizaji ilianza rasmi 1942 na Tamanna. Wakati wa kazi zake ambazo zilitamba sana kunako miaka ya 1940 na 60, Nargis amepata kuonekana katika kazi kadhaa zenye-mafanikio, vilevile kwenye kazi ambazo ziliheshimika vibaya mno, nyingi katika hizo humshirikisha mwigizaji mwenzi na mtengenzaji wa filamu Raj Kapoor. Moja kati ya nyusika maarufu alizocheza ni pamoja na Radha (-liopa kushindanishwa kwenye Academy Award)- Mother India (1957), kazi ambayo alijipatia tuzo ya kama mwigizaji bora na Filmfare Awards na Karlovy Vary International Film Festival. Mnamo 1958, Nargis ameolewa na mshiriki mwenzake wa katika filamu ya Mother India, mwigizaji Sunil Dutt, na akaachana na masuala ya soko la filamu. Alionekana mara kadhaa tu kwenye filamu za miaka ya 60.
Filmografia
hariri- Talashe Haq (1935)
- Tamanna (1942)
- Taqdeer (1943)
- Humayun (1945)
- Bisvi Sadi (1945)
- Nargis (1946)
- Mehandi (1947)
- Mela (1948)
- Anokha Pyar (1948)
- Anjuman (1948)
- Aag (1948)
- Roomal (1949)
- Lahore (1949)
- Darogaji (1949)
- Barsaat (1949)
- Andaz (1949)
- Pyaar (1950)
- Meena Bazaar (1950)
- Khel (1950)
- Jogan (1950 film)|Jogan (1950)
- Jan Pahchan (1950)
- Chhoti Bhabbi (1950)
- Babul (1950)
- Aadhi Raat (1950)
- Saagar (1951)
- Pyar Ki Baaten (1951)
- Hulchul (1951)
- Deedar (1951)
- Awaara (1951)
- Sheesha (1952)
- Bewafaa (1952)
- Ashiana (1952)
- Anhonee (1952)
- Amber (1952)
- Shikast (1953)
- Paapi (1953)
- Dhoon (1953)
- Aah (1953)
- Angarey (1954)
- Shree 420 (1955)
- Jagte Raho (1956)
- Chori Chori (1956)
- Pardesi (1957)
- Mother India (1957)
- Lajwanti (1958)
- Ghar Sansar (1958)
- Adalat (1958)
- Yaadein (1964)
- Raat Aur Din (1967)
- Tosa oneira stous dromous (1968)
Soma zaidi
hariri- Mr. and Mrs. Dutt: Memories of our Parents, Namrata Dutt Kumar and Priya Dutt, 2007, Roli Books. ISBN 9788174364555.[2]
- Darlingji: The True Love Story of Nargis and Sunil Dutt, Kishwar Desai. 2007, Harper Collins. ISBN 9788172236977.
- The Life and Times of Nargis, T. J. S. George. 1994, Harper Collins. ISBN 9788172231491.
Marejeo
hariri- ↑ 57. Shrimati Nargis Dutt (Artiste) –1980-81 Archived 1 Mei 2009 at the Wayback Machine. List of Nominated members, Rajya Sabha Official website.
- ↑ To Mr. and Mrs. Dutt, with love (Literary Review) Archived 11 Oktoba 2007 at the Wayback Machine. The Hindu, 7 Oct 2007.
Viungo vya Nje
hariri- Nargis at the Internet Movie Database
- Nargis Dutt Memorial Foundation Archived 17 Januari 2008 at the Wayback Machine.