Nathan Tella

Mchezaji wa mpira wa miguu wa chama cha Kiingereza (aliyezaliwa 1999)

Nathan Adewale Temitayo Tella (alizaliwa 5 Julai 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Nigeria, ambaye anacheza kama winga katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Nigeria.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nathan Tella kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.