Nduli ilikuwa kata ya Wilaya ya Iringa Vijijini katika Mkoa wa Iringa, Tanzania.

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,045 waishio humo. [1]

Iko kwenye barabara kuu inayounganisha Iringa na Dodoma, hivyo pia Cape Town na Kairo, na ambayo kwa muda mrefu ilikuwa imetiwa lami mpaka kijijini Nduli tu kwa ajili ya kiwanja cha ndege, ila sasa inaendelea na lami hadi kaskazini.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nduli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.