Iringa Vijijini

(Elekezwa kutoka Wilaya ya Iringa Vijijini)

Wilaya ya Iringa Vijijini ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Iringa.

Mahali pa Iringa Vijijini (kijani) katika mkoa wa Iringa kabla haujamegwa.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 254,032 [1]

Wakazi wa wilaya ya Iringa ni hasa Wahehe, ingawa Wabena, Wakinga, Wawanji walihamia kutoka Njombe kuja kufanya kazi katika mashamba ya tumbaku ya Wagiriki.

Kati ya wazawa wa mkoa huu maarufu ni chifu Mkwawa aliyepinga ukoloni wa Wajerumani miaka ya 1880.

TanbihiEdit

  Kata za Wilaya ya Iringa Vijijini - Tanzania  

Idodi | Ifunda | Ilolo Mpya | Itunundu | Izazi | Kalenga | Kihorogota | Kising'a | Kiwere | Luhota | Lumuli | Lyamgungwe | Maboga | Maguliwa | Mahuninga | Malenga Makali | Masaka | Mboliboli | Mgama | Migoli | Mlenge | Mlowa | Mseke | Nduli | Nyang'oro | Nzihi | Ulanda | Wasa


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Iringa Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.