Neptuni (elementi)


Neptuni ni elementi katika mfumo radidia yenye alama Np. Namba atomia ni 93 na uzani atomia ni 237. Jina limechaguliwa kutokana na sayari Neptun.

Neptuni (neptunium)
Atomi ya Neptuni
Atomi ya Neptuni
Jina la Elementi Neptuni (neptunium)
Alama Np
Namba atomia 93
Mfululizo safu Metali
Uzani atomia 237
Valensi 2, 8, 18, 32, 22, 9, 2
Densiti 20.25  g·cm³
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 910 K (637 °C)
Kiwango cha kuchemka 4273 K (4000 °C)
Asilimia za ganda la dunia 4 · 10-17 %
Hali maada mango
Sehemu hii ya neptuniamu iliyofunikwa na nikeli ilitumika katika majaribio ya molekuli muhimu ya Neptuni(Np) katika Maabara ya Kitaifa ya Los Alamos

Neptuni ni metali na elementi ya tamburania. Kwa sababu hii haipatikani duniani kiasili isipokuwa kwa kiwango kidogo sana pamoja na plutoni ndani ya mawe ya mtapo wa urani. Inatokea katika tanuri nyuklia.

Ikiwa elementi tamburania muda wa nusumaisha si mrefu sana. Isotopi ya 237Np ina nusumaisha ya miaka milioni mbili. Lakini isotopi ya 235Np ina nusumaisha ya siku 396 tu.

Rangi ya Neptuni ni ya kifedha. Ina unururifu hivyo pamoja na muda wake wa nusumaisha yafaa kwa matumizi ya mabomu ya kinyuklia.

Viungo vya Nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Neptuni (elementi) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Neptuni (elementi) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.