Nestorius Timanywa

Nestorius Timanywa (7 Mei 193728 Agosti 2018) alikuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba.

Timanywa alizaliwa nchini Tanzania na alipewa daraja takatifu ya uaskofu mnamo 1974. Alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Tanzania, kutoka mwaka 1974 hadi 2013.

Vidokezo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.