New Brunswick

New Brunswick (Brunswick mpya) ni jimbo la Kanada upande wa Bahari Atlantiki. Ni moja kati ya Kanada ya majimbo ya bahari 3 (Kiingereza: Maritime provinces).

Saint John, New Brunswick
New Brunswick

Bendera
Nchi Bendera ya Kanada Kanada
Mji mkuu Saint John
Eneo
 - Mkoa 72,908 km²
Tovuti: http://www.gnb.ca/

Fredericton ni mji mkuu na Saint John ni mji mkubwa. Una eneo la 72,908 km². Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 748,319. Imepakana na Quebec na Nova Scotia.

Kuna lugha rasmi 2: Kiingereza na Kifaransa (32%).

Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1867.

Gavana wa jimbo ni Herménégilde Chiasson.

Jina la jimbo lilitolewa kwa heshima ya Mfalme George III wa Braunschweig (Kiingereza na Kifaransa: Brunswick) katika Ujerumani.

Miji MikubwaEdit

  1. Saint John (68,043)
  2. Moncton (64,128)
  3. Fredericton (50,535)
  4. Edmundston (16.643)

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu New Brunswick kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.