Newfoundland and Labrador








Newfoundland and Labrador (/ˈnuːfɨn(d)lænd ən(d) ˈlæbrədɔr/; ufaransa: Terre-Neuve-et-Labrador) ni jimbo lililoko Kanada. Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1949. Hadi hapo ilikuwa koloni la Uingereza.

Newfoundland na Labrador

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Kanada Kanada
Mji mkuu St. John's
Eneo
 - Jumla 45,212 km²
Tovuti:  http://www.gov.nl.ca/

Kijiografia jimbo hili lina kisiwa cha Newfoundland chenye wakazi wengi zaidi na sehemu ya mashariki ya rasi ya Labrador. Limepakana na Quebec upande wa magharibi, Bahari Atlantiki upande wa mashariki. Lina eneo la km² 45,212.

Kunako mwaka wa 2008, idadi ya wakazi ilikuwa 508,990.

Lugha rasmi ni Kiingereza.

St. John's ni mji mkuu na mji mkubwa.

Miji Mikubwa

hariri
  1. St. John's (100,646)
  2. Corner Brook (20,083
  3. Grand Falls-Windsor (13,558)

Viungo vya Nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
 
St. John's, Newfoundland na Labrador.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Newfoundland and Labrador kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.