St. John's, Newfoundland and Labrador

St. John's ni mji mkuu wa mkoa wa Newfoundland na Labrador. Ni pia mji mkubwa wa kwanza katika mkoa huu. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 100,646 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 172.2 km². Mji ulianzishwa na Wareno mwaka 1583.

Sehemu za Mji wa St. John's, Newfoundland and Labrador



St. John's
Nchi Kanada
Mkoa Newfoundland na Labrador
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 100,646
Tovuti:  www.stjohns.ca



Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu St. John's, Newfoundland and Labrador kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.