Newfoundland and Labrador
(Elekezwa kutoka Newfoundland na Labrador)
Newfoundland and Labrador (/ˈnuːfɨn(d)lænd ən(d) ˈlæbrədɔr/; ufaransa: Terre-Neuve-et-Labrador) ni jimbo lililoko Kanada. Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1949. Hadi hapo ilikuwa koloni la Uingereza.
Newfoundland na Labrador | |||
| |||
Nchi | Kanada | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | St. John's | ||
Eneo | |||
- Jumla | 45,212 km² | ||
Tovuti: http://www.gov.nl.ca/ |
Kijiografia jimbo hili lina kisiwa cha Newfoundland chenye wakazi wengi zaidi na sehemu ya mashariki ya rasi ya Labrador. Limepakana na Quebec upande wa magharibi, Bahari Atlantiki upande wa mashariki. Lina eneo la km² 45,212.
Kunako mwaka wa 2008, idadi ya wakazi ilikuwa 508,990.
Lugha rasmi ni Kiingereza.
St. John's ni mji mkuu na mji mkubwa.
Miji Mikubwa
hariri- St. John's (100,646)
- Corner Brook (20,083
- Grand Falls-Windsor (13,558)
Viungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Province (jimbo) of Newfoundland and Labrador Official Website
- Newfoundland and Labrador Billboard Ad
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Newfoundland and Labrador kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |