Noelia Espíndola (alizaliwa 6 Aprili 1992) ni mwanasoka wa nchini Argentina ambae anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya Boca juniors na timu ya taifa ya wanawake ya Argentina. Noelia alishiriki kwenye mashindano ya copa femenina mnamo mwaka 2014 na kuiwakilisha timu yake ya taifa kwenye kombe la dunia la fifa la wanawake chini ya umri wa miaka 20 mnamo mwaka 2008.[1]

Noelia Espíndola

Marejeo hariri

  1. "Noelia Espíndola" (kwa Kihispania). La Nación. 3 February 2010. Iliwekwa mnamo 3 March 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Noelia Espíndola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.