Nordland ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo lipo katika kanda ya Kaskazini mwa Norwei, imepakana na Troms kwa upande wa kaskazini, Nord-Trøndelag kwa upande wa kusini, Norrbottens län nchini Sweden kwa upande wa mashariki, Västerbottens län kwa upande wa kusini-mashariki, na Bahari ya Atlantiki (Bahari ya Norwei) kwa upande wa magharibi. Awali jimbo lilikuwa likijulikana kama Nordlandene amt.

Milima ya Seven Sisters
Mahali pa Nordland nchini Norwei.

Makao makuu ya jimbo yapo mjini Bodø. Kisiwa cha barafu cha Jan Mayen kimekuwa chini ya Nordland tangu 1995.

Katika upande wa kusini mwa Vega, limeorodheshwa na Unesco kati ya Urithi wa Dunia.

Historia ya Nordland ni ngano kuhusu zawadi zitokanazo na bahari: Ni moja ya sehemu inayotoa mazalia mengi yanayotokana na bahari katika dunia na imekuwa ikitoa chakula tangu enzi za kale, bahari hiyohiyo inayotengeneza tabia-nchi ya wastani kuliko mahali popote pale katika eneo la barafu.

Manispaa zake

hariri
 
Mahali pa Manispaa za Nordland

Jimbo la Nordland lina jumla ya manispaa zipatazo 44 (ukitoa Jan Mayen):

  1. Alstahaug
  2. Andøy
  3. Ballangen
  4. Beiarn
  5. Bindal
  6. Bodø
  7. Brønnøy
  8. Dønna
  9. Evenes
  10. Fauske
  11. Flakstad
  12. Gildeskål
  13. Grane
  14. Hadsel
  15. Hamarøy
  16. Hattfjelldal
  17. Hemnes
  18. Herøy
  19. Leirfjord
  20. Lødingen
  21. Lurøy
  1. Meløy
  2. Moskenes
  3. Narvik
  4. Nesna
  5. Øksnes
  6. Rana
  7. Rødøy
  8. Røst
  9. Saltdal
  10. Sømna
  11. Sørfold
  12. Sortland
  13. Steigen
  14. Tjeldsund
  15. Træna
  16. Tysfjord
  17. Værøy
  18. Vågan
  19. Vefsn
  20. Vega
  21. Vestvågøy
  22. Vevelstad

Marejeo

hariri
  • Tollefsrud, J.; Tjørve, E.; Hermansen, P.: Perler i Norsk Natur - En Veiviser. (Aschehoug, 1991) ISBN 82-03-16663-6
  • Moen, A. Nasjonalatlas for Norge: Vegetasjon. (Statens Kartverk, Hønefoss. 1998) ISBN 82-90408-26-9
  • Østmo, E. (red): Før Norge ble Norge. Fra istid til jernalder. (Schibsted Forlagene AS, Oslo 2004) ISBN 82-516-2015-5
  • Haugan, Trygve B (ed) Det Nordlige Norge Fra Trondheim Til Midnattssolens Land) (Trondheim: Reisetrafikkforeningen for Trondheim Og Trøndelag. 1940)
  • Almanakk for Norge; University of Oslo, 2010. ISBN 978-82-05-39473-5

Viungo vya nje

hariri

66°50′00″N 14°40′00″E / 66.83333°N 14.66667°E / 66.83333; 14.66667

  Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nordland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.