Norrbottens län (Kiswahili: Wilaya ya Norrbotten) ni kati ya wilaya 21 za Uswidi. Makao makuu yako Luleå.