Västerbottens län (Kiswahili: Wilaya ya Västerbotten) ni kati ya wilaya 21 za Uswidi. Makao makuu yako Umeå.