Nozipho Bhengu
Nozipho Bhengu (1974 - 19 Mei 2006) alikuwa mwanamke wa Afrika Kusini ambaye kifo chake kilisababishwa na ugonjwa unaohusiana na UKIMWI nacho kilizidisha utata juu ya jinsi gani UKIMWI unatibiwa nchini Afrika Kusini.[1]
Marejeo
hariri- The Economist, June 10, 2006, p101
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nozipho Bhengu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "The Economist", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-11-18, iliwekwa mnamo 2021-11-20