Nuru Awadhi Bafadhili

Nuru Awadhi Bafadhili (amezaliwa 22 Novemba 1952) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania kupitia Chama cha Wananchi CUF kutokea jiji la Tanga.

Kitaaluma ni Mwalimu aliyestaafu. Ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi Taifa - CUF, Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa - CUF, na Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa CUF, pia ni mlezi kichama wa Kanda ya Pwani ambayo inajumuisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, na Bagamoyo. [1]

Tanbihi hariri

Chanzo hariri