Nyboma (albamu)
"Nyboma" ni jina la albamu iliyotoka mwaka 1995 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Nyboma. Wimbo maarufu kutoka katika albamu ni pamoja na Maya, Lidy, Abissina, Masala na Anicet. Albamu imebeba nyimbo kumi zote zikiwa zimetayarishwa na Ibrahim Sylla kupitia Studio Harry Son ya mjini Paris, Ufaransa.
Nyboma | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Nyboma | |||||
Imetolewa | 1995 | ||||
Imerekodiwa | Miaka ya 1990 | ||||
Aina | Soukous | ||||
Lebo | Syllart Records | ||||
Mtayarishaji | Ibrahim Sylla | ||||
Wendo wa albamu za Nyboma | |||||
|
Wahusika
hariri- Sauti
- Nyboma—Mwimbaji mkuu
- Koffi Olomide—Mwimbaji mkuu katika wimbo wa Anicet na Masala
- Djeffer Lukombo—Sauti
- Wutu Mayi—Sauti
- Mawali Bonane—Sauti
- Balou Canta—Sauti katika Maya
- Shimita—Sauti katika Maya
- Efondja Jean Bedra—Sauti katika Maya
- Vyombo
- Dally Kimoko—Gitaa kuu
- Kinzunga Ricos—Gitaa kuu
- Lokassa ya Mbongo—Gitaa la kati (rizim gitaa)
- Bepol Mansiamina—Gitaa la kati (rizim gitaa)
- Ngouma Lokito—Gitaa zito (besi gitaa)
- Djudju Chet—Dramzi
- Niawou—Tumba na animesheni
- Yendura—Animesheni
Orodha ya nyimbo
haririZifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.
- Anicet
- Ina
- Malcolm X
- Abissina
- Vanie
- Maya
- Okino
- Masola
- Lidy
- Niki Bue
Viungo vya Nj
hariri- Nyboma (albamu) katika wavuti ya Discogs.