Nyota ya bahari (kwa Kilatini: Stella Maris) ni sifa mojawapo iliyotumika kwa Bikira Maria tangu mwanzoni mwa Karne za Kati.

Sanamu ya Bibi Yetu Nyota ya Bahari, Sliema, Malta.

Kwa jina hilo anaheshimiwa na kukimbiliwa na mabaharia Wakatoliki katika hatari za safari majini.