Nyumba ya Arewa
Kituo cha utafiti Kaduna,Nigeria
Nyumba ya Arewa ni kituo cha utafiti na historia kilichopo chini ya chuo kikuu "Ahmadu Bello University", nchini Nigeria.
Makumbusho hayo yapo katika mji wa Kaduna [1]
Historia
haririNyumba ya makumbusho ya Arewa ilijengwa mwaka 1950 na kufanywa kuwa makumbusho mwaka 1970 wakati kikosi kazi kilipotaka kuandika historia ya Nigeria ya kaskazini.
Mkurugenzi wa kwanza wa kituo hicho alikuwa profesa Abdullahi Smith, mwanzilishi wa kitengo cha historia katika chuo kikuu cha Ahmadu Bello Zaria. Profesa Idris Shaaba Jimada ndiye mkurugenzi wa sasa wa kituo hicho.[2][3][4][5]
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ "Arewa House Museum". arewahouse.abu.edu.ng. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-22. Iliwekwa mnamo 4 Septemba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Arewa House advocates Northern Education Summit". Vanguard News (kwa American English). 2015-03-02. Iliwekwa mnamo 2020-04-08.
- ↑ "Arewa House Centre Archives". The Guardian Nigeria News - Nigeria and World News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-04-08.
- ↑ "Buhari canvasses sound education sector built on values". The Guardian Nigeria News - Nigeria and World News (kwa American English). 2019-07-10. Iliwekwa mnamo 2020-04-08.
- ↑ "Arewa House | General view to Arewa House". Archnet. Iliwekwa mnamo 2020-04-08.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nyumba ya Arewa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |