Makumbusho ya Esiẹ
Makumbusho ya Esiẹ ni makumbusho yanayopatikana katika mji wa Esiẹ, jimbo la Kwara, nchini Nigeria. Hayo ni makumbusho ya kwanza kuanzishwa nchini Nigeria na kufunguliwa mwaka 1945.
Makumbusho yana sanamu nyingi za mawe zikijumuisha binadamu.
Yanajulikana zaidi kuwa ndiyo sehemu yenye mkusanyo wa sanamu nyingi za mawesabuni (Soapstone).[1]
Yanajulikana pia kuwa kama kitovu cha sherehe nyingi za kidini ambazo zimekuwa zikifanyika hapo katika mwezi Aprili kila mwaka.[2]
Tazama Pia
haririMarejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Esiẹ kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |