Ober Gabelhorn

Ober Gabelhorn ni mlima wa Alpi katika nchi ya Uswisi (Ulaya).

Mlima wa Ober Gabelhorn, upande wa Kusini

Urefu wake ni mita 4,063 juu ya usawa wa bahari.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ober Gabelhorn kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.