"Obvious" ni wimbo kutoka kwa kundi la Westlife, ulitolewa kama single ya tatu kutoka katika albamu yao ya nne iliyojulikana kwa jina la Turnaround.

“Obvious”
“Obvious” cover
Single ya Westlife
Imetolewa 23 Februari 2004
Muundo CD Single
Imerekodiwa 2003
Aina Pop
Studio Sony BMG
Mtunzi Andreas Carlsson, Pilot, Savan Kotecha,
Mwenendo wa single za Westlife
"Mandy"
(2003)
(18)
"Obvious"
(2004)
(19)
"You Raise Me Up"
(2005)
(20)

Orodha ya nyimbo

hariri

CD ya kwanza

hariri
  1. Obvious (Single Mix)
  2. I'm Missing Loving You
  3. To Be With You (Live From The Greatest Hits Tour)
  4. Obvious (Video)
  5. Obvious (Making Of The Video)

CD ya pili

hariri
  1. Obvious (Single Mix)
  2. Westlife Hits Medley (Flying Without Wings / My Love / Mandy)
Chati Ilipata
nafasi
Austrian Singles Chart 63
Danish Singles Chart 7
Dutch Singles Chart 44
European Singles Chart 9
German Airplay Chart 29
German Singles Chart 39
Irish Singles Chart 2
Swedish Singles Chart 25
Swiss Singles Chart 69
UK Singles Chart 3
UK Radio Airplay Chart 11

Waliourudia

hariri

Mwimbaji Anthony Callea, aliyekuwa moja ya washiriki katika shindano la Australian Idol kwa mwaka 2004 aliurudia wimbo huu kati albamu yake iliyofanya vizuri ya Anthony Callea ya mwaka 2005.

Marejeo

hariri

Viungo ya nje

hariri
Jua habari zaidi kuhusu Westlife kwa kutafuta kupitia mradi wa Wikipedia Sister
  Uchambuzi wa kamusi kutoka Wikamusi
  Vitabu kutoka Wikitabu
  Dondoo kutoka Wikidondoa
  Matini za vyanzo kutoka Wikichanzo
  Picha na media kutoka Commons
  Habari kutoka Wikihabari
  Vyanzo vya elimu kutoka Wikichuo