Ojos del Salado ni mlima wa Andes katika nchi ya Chile (Amerika Kusini).

Mlima Ojos del Salado

Urefu wake ni mita 6,891 juu ya usawa wa bahari, hivyo ni wa kwanza katika nchi hiyo na wa pili katika safu nzima ya Andes.

Tazama pia hariri