Oke Akpoveta (alizaliwa 13 Desemba 1991)[1][2] ni mchezaji wa kandanda wa Nigeria ambaye nafasi yake ni mshambuliaji.

Akpoveta alitia saini mkataba wa miaka minne na klabu ya Brøndby katika Superliga ya Denmark mnamo tarehe 9 Agosti 2011. Alianza uchezaji wake katika klabu hiyo kwa mara ya kwanza mnamo Agosti 28 dhidi ya klabu ya FC Midtjylland.

Marejeo

hariri
  1. "HIF värvar anfallare från superettan-rival", Aftonbladet, 17 February 2017. (Swedish) 
  2. "HIF värvar Oke Akpoveta". Retrieved on 8 October 2018. (sv) Archived from the original on 2018-10-09. 

Viungo Vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oke Akpoveta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.