Russell Tyrone Jones (15 Novemba 196813 Novemba 2004) alikuwa rapa na mtayarishaji, ambaye alikwenda kwa jina la kisanii la Ol' Dirty Bastard (mara kwa mara hufupishwa kama ODB). Huyu alikuwa mmoja kati ya walioanzisha kundi zima la hip hop la Wu-Tang Clan.

Ol Dirty Bastard kushoto akiwa na Silkski.
Ol' Dirty Bastard
Jina la kuzaliwa Russell Tyrone Jones
Pia anajulikana kama ODB, Big Baby Jesus, Sweet Baby Jesus, Dirt McGirt, Dirt Dog, Dirk Hardpec, Osirus, Osiris the Father, Joe Bananas, Ol' Dirt Schultz, Roll Fizzlebeef, Hasaan, Ill Irving the Murderer, Flint Ironstag, The BZA, The Drunken Master Styles, Blast Hardcheese, Ason Jones, Ason Unique
Amezaliwa (1968-11-15)Novemba 15, 1968
Asili yake East New York, Brooklyn, New York City, New York,
United States
Amekufa Novemba 13, 2004 (umri 35)
New York City,
New York,
United States
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Rapa
Miaka ya kazi 1988 – 2004
Studio Loud/RCA
Elektra
Roc-A-Fella Records
Sure Shot Recordings
NuTech Digital
Dame Dash Music Group/Koch Records
Ame/Wameshirikiana na Wu-Tang Clan
Brooklyn Zu

Ol' Dirty Bastard ameleta mambo ya ajabu na upimbi kwenye kundi la Wu-Tang Clan. Anafahamika sana kwa maujanja yake ya kushika microphone (yaani, anaimba kwa kufokafoka sana na maneno yake kama hayasikiki).[1]

Diskografia

hariri

Albamu zake

hariri
Jina la Albamu Tarehe ya Kutolewa Ngazi
Return to the 36 Chambers: The Dirty Version 28 Machi 1995 Platinum (U.S.)
Nigga Please 14 Septemba 1999 Gold (U.S.), Gold (CAN)
The Dirty Story: The Best of Ol' Dirty Bastard (compilation) 18 Septemba 2001
The Trials and Tribulations of Russell Jones 19 Machi 2002
Osirus (mix-tape) 4 Januari 2005
The Definitive Ol' Dirty Bastard Story (compilation) 21 Juni 2005
Free to Be Dirty! Live 30 Agosti 2005
In Memory Of... Vol. 3 9 Julai 2007
A Son Unique 7 Novemba 2009

Singles

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri


  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ol' Dirty Bastard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.