Olgica Batić (alizaliwa 7 Desemba 1981) ni wakili na mwanasiasa kutoka Serbia.Batić Alikuwa Raisi (mnamo mwaka 2011-2017) wa Chama cha Kidemokrasia cha Kikristo (DHSS) na alikuwa mwanachama wa Bunge la Kitaifa la Serbia (mnamo mwaka 2012-2016). Mnamo 2017, DHSS iliunganishwa katika Vuguvugu la Kurejesha Ufalme wa Serbia.

Olgica Batić (2012)

Wasifu

hariri

Olgica Batić alizaliwa mnamo Desemba 7, 1981, huko Belgrade baba yake Vladan Batić (mnamo mwaka 1949-2010) alikuwa rais wa Chama cha Kidemokrasia cha Kikristo cha Serbia (DHSS).

Kazi ya kisiasa

hariri

Baada ya kuhitimu,Batić alijiunga na timu ya wanasheria ya DHSS. Baada ya kifo cha babake mnamo Desemba 29, 2010, katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Kidemokrasia cha Kikristo cha Serbia uliofanyika 3 Septemba 2011, alichaguliwa kuwa rais.[1]

Marejeo

hariri
  1. ДХСС. "Организација". dhss.org.rs. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Septemba 2014. Iliwekwa mnamo 28 Juni 2017. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Olgica Batić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.