Ombaci ni kitongoji katika Wilaya ya Arua katika Mkoa wa Kaskazini huko Uganda.[1]

Mhali pa Ombaci katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 03°03′53″N 30°56′17″E / 3.06472°N 30.93806°E / 3.06472; 30.93806

Mahali hariri

Ombaci iko katika Wilaya ya Arua, katika mkoa mdogo wa Nile magharibi (West Nile), kaskazini mwa Uganda. Iko karibu kilomita 6 (maili 4), kwa barabara, kaskazini mashariki mwa wilaya kuu ya biashara ya Arua.

Marejeo hariri