Oreste wa Tyana

(Elekezwa kutoka Oreste wa Tiana)

Oreste wa Tyana (alifariki Tyana, Kapadokia, katika Uturuki ya leo, karne ya 3 au ya 4) alikuwa mfiadini wa Kikristo.[1]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Novemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.