Orodha ya matajiri wakubwa Waafrika

Orodha ya matajiri wakubwa Waafrika (The Richest Africans) ni orodha ya kila mwaka ya matajiri wakubwa kabisa wa Afrika inayoandaliwa na kuchapishwa na gazeti la biashara la Marekani Forbes. Orodha hii imekuwa ikichapishwa toka mwaka 2015.

Mwanzilishi wa Dangote Group, Aliko Dangote, ndiye namba moja kwenye orodha ya 2018.[1] Mwaka 2018, kuna mabilionea 23 wa Afrika kwenye orodha hiyo.[2]

Orodha ya kila mwaka

hariri
Na. Jina Utajiri (USD) Umri Utaifa Chanzo cha utajiri
&0000000000000001.0000001 Aliko Dangote $10.7 billion   61   Nigeria Dangote Industries.[3]
&0000000000000002.0000002 Nicky Oppenheimer $8.8 billion   73   Afrika Kusini diamonds, gold
&0000000000000003.0000003   Rupert, JohannJohann Rupert $7.2 billion   68   Afrika Kusini Telmex, Richemont
&0000000000000004.0000004 Sawiris, NassefNassef Sawiris $6.8 billion   57   Misri Orascom
&0000000000000005.0000005 Adenuga, MikeMike Adenuga $5.3 billion   65   Nigeria Globacom
&0000000000000006.0000006 Rebrab, Issad Issad Rebrab $4 billion   74   Algeria CEVITAL Group
&0000000000000007.0000007 Sawiris, Naguib Naguib Sawiris $4 billion   64   Misri Orascom
&0000000000000008.0000008 Koos Bekker $2.8 billion   65   Afrika Kusini Naspers
&0000000000000009.0000009 dos Santos, IsabelIsabel dos Santos $2.7 billion   45   Angola Investments
&0000000000000010.00000010 Mohamed Mansour $2.7 billion   70   Misri Mansour Group

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. Papadopoulos, Anna (22 Oktoba 2018). "Africa's Billionaires: Top 25 Richest People In Africa, 2018". CEOWORLD magazine. Iliwekwa mnamo 5 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Dolan, Kerry A. (10 Januari 2018). "African Billionaire Fortunes Rise On Forbes 2018 List Of Continent's Richest". Forbes. Iliwekwa mnamo 5 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Anon (n.d.). "Aliko Dangote". Forbes. Iliwekwa mnamo 5 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

hariri