Orodha ya miji ya Gambia

Orodha ya miji ya Gambia inaorodhesha miji muhimu zaidi nchini Gambia.

Ramani ya Gambia

Rundiko kubwa zaidi nchini Gambia ni eneo la Kombo - St. Mary lenye wakazi 422,877 (mnamo mwaka 2013).[1] Hii ni karibu robo ya wananchi wote wa Gambia.

Mji mkuu na mji wa nane kwa ukubwa kati ya miji ya Gambia ni Banjul yenye wakazi 31,356.

Katika jedwali lifuatalo kuna miji yenye zaidi ya wakazi 5,000 kufuatana na matokeo ya sensa ya tarehe 15 Aprili 1993, makadirio ya 1 Januari 2012 pamoja na mkoa wake. Matokeo ya sensa ya 2013 hayajajumuishwa.

Miji ya Gambia
Na. Mji Wakazi Mkoa
Sensa 1993 Sensa 2003 Makadirio 2013
1. Serekunda 194,987 362,986 Greater Banjul Area
2. Brikama 41,761 84,608 West Coast Region
3. Bakau 28,882 53,766 Greater Banjul Area
4. Lamin 10,668 39,183 West Coast Region
5. Nema Kunku 9,838 36,134 West Coast Region
6. Brufut 8,644 31,749 West Coast Region
7. Sukuta 16,667 31,674 West Coast Region
8. Banjul 42,326 34,828 31,356 Greater Banjul Area
9. Gunjur 9,983 22,244 West Coast Region
10. Farafenni 20,956 19,512 North Bank Region
11. Wellingara 7,663 16,116 West Coast Region
12. Busumbala 3,619 13,292 West Coast Region
13. Yundum 3,545 13,021 West Coast Region
14. Mandinari 3,423 12,572 West Coast Region
15. Basse Santa Su 9,265 11,859 Upper River Region
16. Soma 7,988 10,707 Lower River Region
17. Banjulunding 2,751 10,104 West Coast Region
18. Sabi 4,734 9,987 Upper River Region
19. Gambissara 7,703 9,859 Upper River Region
20. Kunkujang 2,628 9,652 West Coast Region
21. Bansang 5,971 8,535 Central River Region
22. Kerr Seringe Ngaga 2,278 8,367 West Coast Region
23. Garowol 6,512 8,272 Upper River Region
24. Abuko 4,345 8,089 Greater Banjul Area
26. Sifoe 3,240 7,219 West Coast Region
27. Tanji 4,623 6,690 West Coast Region
28. Essau 4,486 6,640 North Bank Region
29. Farato 2,935 6,540 West Coast Region
30. Sanyang 4,435 6,534 West Coast Region
31. Jambajeli 2,772 6,177 West Coast Region
32. Barra 4,257 5,799 North Bank Region
33. Allunhari 4,571 5,784 Upper River Region
34. Bijilo 1,542 5,664 West Coast Region
35. Kartong 2,536 5,651 West Coast Region
36. Tujereng 2,534 5,646 West Coast Region
37. Demba Kunda 4,028 5,156 Upper River Region
38. Madiana 1,382 5,076 West Coast Region

Marejeo hariri

  1. Bevoelkerungsstatistik.de

Viungo vya nje hariri