Ozem alikuwa mtoto wa sita wa Yese wa Bethlehemu na hivyo pia kaka wa mfalme Daudi (1Sam 16:10-11; 1Nya 2:13-16).

Mwingine mwenye jina hilo katika Biblia alikuwa mwana wa Jerahmeel (1Nya 2:25)

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ozemu kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.