P.Y.T. (Pretty Young Thing)

"P.Y.T. (Pretty Young Thing)" ni wimbo msanii wa rekodi za muziki kutoka nchini Marekani, Michael Jackson. Demo kamili ya wimbo huu ilitungwa na Greg Phillinganes kwa ajili ya albamu yake ya sita ya Thriller (1982). Baadaye demo ile ilikuja kuongezwa kasi kidogo na James Ingram na mtayarishaji Quincy Jones. Hivyo walishirikiana katika maandalizi ya wimbo huu. Dada wawili wa Jackson, Janet na La Toya, walitia sauti za nyuma katika wimbo huu wa P.Y.T.

“P. Y. T. (Pretty Young Thing)”
“P. Y. T. (Pretty Young Thing)” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Thriller
Imetolewa 19 Septemba 1983
Muundo CD single
Aina R&B, disco, funk
Urefu 3:58
Studio Epic Records
Mtunzi James Ingram
Quincy Jones
Mtayarishaji Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Human Nature"
(1983)
"P. Y. T. (Pretty Young Thing)"
(1983)
"Say Say Say"
(1983)
Chati (1983) Nafasi
iliyoshika
Belgian Singles Chart 6
Canadian Singles Chart 24[1]
Dutch Singles Chart 14[2]
German Singles Chart 51
Holland Singles Chart 14
UK Singles Chart 11[3]
U.S. Billboard Hot 100 10
U.S. R&B Singles Chart 46
Chart (2009) Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard Hot Digital Songs 14[4]
UK Singles Chart 98[5]

Tanbihi

hariri
  1. "halstead (2003) 42"
  2. "Dutch Singles Chart Archives". dutchcharts.nl. Iliwekwa mnamo 2 Mei 2009.
  3. "halstead (2007) 256"
  4. "U.S. Billboard Hot Digital Songs". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-29. Iliwekwa mnamo 2009-07-17.
  5. "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu P.Y.T. (Pretty Young Thing) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.