Paco Sery (alizaliwa mnamo 1 mei 1956, Côte d'Ivoire)[1] ni mwanamuziki wa dunia na mpiga ngoma wa jazz fusion[2]. Aliimba na Joe Zawinul [3] na Eddy Louiss. Pia ana Bendi yake mwenyewe ambayo alitoa albamu yake ya kwanza ya solo ya Voyages, mnamo mwaka 2000.

Picha ya Paco Sery mnamo 2002 iliyopigwa na Julie
Picha ya paco sery mnamo 2002 iliyopigwa na julie

Marejeo

hariri
  1. "Paco Sery - African artists". Afrik.com. 15 Machi 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-15. Iliwekwa mnamo 13 Juni 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Budofsky, Adam. The drummer: 100 years of rhythmic power and invention. Hal Leonard Corporation. uk. 93. ISBN 978-1-4234-0567-2.
  3. Bogdanov, Vladimir; Woodstra, Chris; Erlewine, Stephen Thomas (2001). All music guide: the definitive guide to popular music. Hal Leonard Corporation. uk. 1435. ISBN 978-0-87930-627-4.