Pangani
Pangani ni jina la mto, wilaya na mji katika Tanzania.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/thumb/8/8b/20041212_pangani.jpg/220px-20041212_pangani.jpg)
* Mto wa Pangani unabeba maji ya Milima ya Meru, Kilimanjaro, Upare na Usambara kwenda Bahari Hindi. Mdomo wake uko mjini Pangani.
* Wilaya ya Pangani ni kati ya wilaya za mkoa wa Tanga.
* Mji wa Pangani ni makao makuu wa wilaya ya Pangani iliyomo mkoa wa Tanga ufukoni mwa Bahari ya Hindi na mto wa Pangani.
* Pangani, kata ya wilaya ya Kibaha Mjini.
- Jina la Pangani hupatikana pia katika miji mbalimbali likitaja eneo au mtaa ndani yake, kwa mfano Pangani katika Nairobi, karibu na Eastleigh. Maana ni "eneo watu walipopanga nyumba zao".