Kibaha (mji)

Kibaha ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Pwani nchini Tanzania yenye postikodi namba 61100 [1]. Tangu kuwa na halmashauri yake ni Wilaya ya Kibaha Mjini, tofauti na Wilaya ya Kibaha Vijijini.

Kibaha
Kibaha is located in Tanzania
Kibaha
Kibaha
Mahali pa mji wa Kibaha katika Tanzania
Majiranukta: 6°46′12″S 38°55′12″E / 6.77°S 38.92°E / -6.77; 38.92
Nchi Tanzania
Mkoa Pwani
Wilaya Kibaha
Idadi ya wakazi
 - 132,045

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, eneo la Mji wa Kibaha lilikuwa na wakazi wapatao 128,488 [2] walioishi humo.

Wilaya ya Kibaha Mjini ina eneo la kilomita za mraba lililogawiwa kwa kata 11.


HistoriaEdit

Asili ya wakazi wa Kibaha ni kabila la Wazaramo. Kijiji na baadaye mji ulikua kutokana na mahali pake kwenye barabara kuu kati ya Dar es Salaam na Morogoro ukateuliwa kuwa makao makuu ya mkoa.

MarejeoEdit

  Kata za Wilaya ya Kibaha Mjini - Mkoa wa Pwani - Tanzania  

Kibaha | Kongowe | Maili Moja | Mbwawa | Misugusugu | Mkuza | Msangani | Pangani | Picha ya Ndege | Tumbi | Visiga


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kibaha (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.