Panishit

Mwanamuziki

Straton Filbert Kilawe [1] (anajulikana kwa jina la kisanii kama Panishit au Panishee Mdudu; alizaliwa 11 Oktoba 1990) ni mwanamuziki na mwanaharakati wa Hip hop kutoka Arusha nchini Tanzania.

Panishit
Jina la kuzaliwaStraton Filbert Kilawe
Pia anajulikana kamaPanishee Mdudu
Panipain
Panishit Maradhi
Amezaliwa11 Oktoba 1990 (1990-10-11) (umri 33)
Arusha,Tanzania
ChimbukoArusha, Tanzania
Aina ya muzikiHip hop
Kazi yakeRapa
Mtunzi wa Nyimbo
Mwanaharakati
Mshairi
AlaSauti
Ngoma
Kinanda
Miaka ya kazi2012 - hadi leo
Studio[[Hip Hop Sana Lab]
Ameshirikiana na

Maisha ya awali hariri

Panishit mi mtoto Wa kwanza wa kiume katika Familia ya Watoto Watatu Iliyokulia katika hali ya Mwananchi wa Kawaida Jijini Arusha Tanzania, Alianza kuvutiwa na muziki kutoka Kwa Mama yake Aliyekuwa Mwanakwaya Na baba yake Mshahiri Wa Kiswahili na kujikuta Akiwa na uwezo wa kuwaandikia watu Shairi ya Kiswahili Shuleni wanapopewa mazoezi ya Somo La Kiswahili

Alihitimu masomo yake ya degree ya sayansi Ya Biolojia aliyotunukiwa na raisi mstaafu wa Tanzania ‘Benjamin Mkapa, ‘ Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2014 [2]

Kazi ya Muziki hariri

Mwaka 2014 Panishit alirekodi kazi na wasanii kama Nakaaya na Walter Chilambo (sasa anafanya gospel)[3] [4].

Panishit pia ameshirikiana na Moni Centrozone, Linex Sunday Mjeda na Belle Nine [5][6].

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  1. "Micshariki Africa" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-07. 
  2. "Short Biography". PANISHEE (kwa Kiingereza). 2017-08-06. Iliwekwa mnamo 2022-09-13. 
  3. Nwasante Khasiani (Writer), Nwasante Khasiani (Writer) (2014-06-09). "These Are The Top Ten Most Downloaded Songs In Kenya". Ghafla! (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-07-07. 
  4. "Panishee Mdudu ⚜ Online songs and bio of the artist — mdundo.com". mdundo.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-07. 
  5. djmwanga (2017-03-20). "AUDIO | Panishit X Mack G - FIMBO | Download". DJ Mwanga (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-07-07. 
  6. "Audiomack | Free Music Sharing and Discovery". audiomack.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-08.