Mwananchi ni gazeti kutoka Dar es Salaam, nchini Tanzania. Linatolewa kila siku kwa lugha ya Kiswahili na kampuni ya Mwananchi Communications Ltd. inayotoa pia magazeti ya Mwanaspoti na The Citizen (kwa Kiingereza).

Mwananchi
Jina la gazeti Mwananchi
Nchi Tanzania
Mchapishaji Mwananchi Communications Ltd
Makao Makuu ya kampuni Dar es Salaam
Tovuti http://www.mcl.co.tz/

Kampuni yake ni sehemu ya kampuni kubwa ya Nation Media Group ya Nairobi, Kenya.

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: