Paschal Eze

Makamu wa raisi wa Afrika katika Baraza la kimataifa la washiriki wa utalii, mwandishi wa vitabu kumi na mbili, ametunuku mafunzo katika elimu ya biashara.

C. Paschal Eze ni raia kutokea nchini Marekani mwenye asili ya Nigeria ni mratibu katika masoko ya utalii. Alizaliwa nchini Nigeria na kufanya kazi kama mwandishi wa habari katika kituo cha the Gambia, kwa sasa anafanya kazi kama Makamu wa Rais wa Afrika katika Baraza la Kimataifa la Washirika wa Utalii huko Hawaii USA Eze ameandika zaidi ya vitabu kadhaa tangu 1998.[1]

Paschal Eze

Amezaliwa
Nigeria
Kazi yake mwandishi wa habari
Cheo mwariri
C. Paschal Eze

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2021-05-29.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paschal Eze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.