Pat Nixon
Thelma Catherine "Pat" Nixon (16 Machi 1912 - 22 Juni 1993) alikuwa mke wa Richard Nixon, Raisi wa 37 wa Marekani, na alihudumu kama Mwanamke wa Kwanza wa Marekani kuanzia mwaka wa 1969 hadi 1974.[1]
Pat Nixon | |
Nixon mwaka 1972 | |
Mwanamke wa kwanza wa Marekani
| |
Muda wa Utawala January 20, 1969 – August 9, 1974 | |
Rais | Richard Nixon |
---|---|
mtangulizi | Lady Bird Johnson |
aliyemfuata | Betty Ford |
Mwanamke wa pili wa Marekani
| |
Muda wa Utawala January 20, 1953 – January 20, 1961 | |
Makamu wa Rais | Richard Nixon |
mtangulizi | Jane Hadley Barkley |
aliyemfuata | Lady Bird Johnson |
tarehe ya kuzaliwa | Ely, Nevada, U.S. | Machi 16, 1912
tarehe ya kufa | 22 Juni 1993 (umri 81) Park Ridge, New Jersey, U.S. |
mahali pa kuzikiwa | Richard Nixon Presidential Library and Museum |
chama | Chama cha Republican |
ndoa | Richard Nixon (m. 1940–present) |
watoto |
|
signature |
Alizaliwa Ely, Nevada, alikua pamoja na kaka zake wawili katika eneo linalofahamika kwa sasa kama Cerritos, California, na alihitimu Excelsior Union High School huko Norwalk, California mwaka 1929. Pia alisoma Chuo cha Fullerton Junior na baadaye Chuo Kikuu cha Southern California. Alilipia masomo yake kwa kufanya kazi kadhaa, ikiwa ni pamoja na meneja wa duka la dawa, mwandishi, mpiga picha za mionzi na karani wa rejareja. Mnamo mwaka 1940, aliolewa na mwanasheria Richard Nixon na kupata watoto wawili wa kike, Tricia and Julie.
Marejeo
hariri- ↑ "First Lady Biography: Pat Nixon". The National First Ladies Library. 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 9, 2012. Iliwekwa mnamo Agosti 15, 2007.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pat Nixon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |