Patara (Lisia)

Patara (kwa Kigiriki Πάταρα, Patara) ulikuwa mji wenye bandari huko Lisia kwenye pwani ya Uturuki wa leo, karibu na kijiji cha Gelemisref name="Peschlow">Peschlow, Urs (2017), "Patara", in Niewohner, Philipp, The Archaeology of Byzantine Anatolia, New York: Oxford University Press, pp. 280–290, doi:10.1093/acprof:oso/9780190610463.003.0025 </ref>.

Lango la mji.

Mtume Paulo alifika huko mwaka 58 na kubadilisha meli katika safari yake ya kuelekea Yerusalemu (Mdo 21:1-3).

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Patara (Lisia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.