Pathrakadavu Waterfalls

Pathrakadavu Waterfalls ni maporomoko ya maji yalioko kwenye Hifadhi ya Silent Valley, wilaya ya Palakkad, Kerala, Uhindi. Hicho ni kivutio cha utalii kilichoko Kuruthichal ndani ya Pathrakadavu.

Umeme maji na migogoro

hariri

Kulikuwa na mpango uliopendekezwa wa mradi wa umeme maji kwenye mto ambao maporomoko hayo yapo[1]. Mradi huu ulipigwa sana na mashirika mbalimbali ya mazingira na wanaharakati. hata idara ya hifadhi za misitu ilipinga mradi huu[2],

Mradi wa utalii rafiki

hariri

Serikali kwa sasa inatekeleza mradi wa utalii rafiki hapo ambao hautahatarisha mazingira na kulinda uzuri wa hifadhi hiyo ya Silent Valley[3]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2020-10-18. Iliwekwa mnamo 2022-05-11.
  2. "Asianet News - പാത്രക്കടവ് ജലവൈദ്യുതി പദ്ധതിക്കെതിരെ വീണ്ടും വനംവകുപ്പ്". web.archive.org. 2016-03-05. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-05. Iliwekwa mnamo 2022-05-11.
  3. "പാത്രക്കടവ് ഇക്കോ ടൂറിസം പദ്ധതി: വിദഗ്ധസംഘം ഇന്നെത്തും |". www.deepika.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-05-11.