Patrik Schick

Mchezaji mpira wa Czech

Patrik Schick (alizaliwa 24 Januari 1996)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ucheki, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Czech.

Patrik Schick

Marejeo

hariri
  1. "Patrik Schick", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-06-25, iliwekwa mnamo 2024-06-29
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patrik Schick kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.