Paul Wattson

Mkuu na kasisi wa Marekani

Paul Wattson, S.A., (16 Januari 18638 Februari 1940) alikuwa kasisi wa Marekani aliyeanzisha Jumuiya ya Upatanisho (Society of the Atonement) pamoja na Mama Lurana White, mbali ya kuanzisha Wiki ya Umoja wa Wakristo (Christian Unity Octave), akiwa ndani ya Kanisa la Anglikana.

Padri Paul Wattson katika mavazi ya kitawa.

Baadaye alipokewa katika Kanisa Katoliki na anakumbukwa kama mtetezi wa kuleta umoja miongoni mwa Wakristo wa madhehebu mbalimbali.[1][2][3][4][5]

Wattson ametangazwa kuwa Mtumishi wa Mungu, hatua ya kwanza kuelekea kutambuliwa kama mtakatifu.[6][7]

Marejeo

hariri
  1. Orians, Thomas. "Brief History of the Week of Prayer for Christian Unity, January 18-25, 2020".
  2. "Father Paul Wattson, SA, Servant of God, Apostle of Christian Unity and charity". OUR FOUNDER – FATHER PAUL OF GRAYMOOR. Franciscan Friars of the Atonement. 2022. Iliwekwa mnamo 2022-07-09.
  3. "Wattson, Paul James Francis". An Episcopal Dictionary of the Church. The Episcopal Church. Founder of the Church Unity Octave, which was a precursor of the Week of Prayer for Christian Unity.
  4. "FR. PAUL, FOUNDER OF GRAYMOOR, DIES; He Established Order While Episcopalian Rector, Then Became Catholic Priest ASSISTED HOMELESS MEN They Built the Monastery at Garrison--He Headed the Society of Atonement", The New York Times, February 9, 1940, p. 24. 
  5. "Canonization Process Moves Forward for Servant of God Fr. Paul Wattson, SA". Franciscan Friars of the Atonement. 2022. Iliwekwa mnamo 2022-07-09.
  6. "In New York, Catholic convert takes a step toward sainthood", Catholic News Agency, EWTN, March 20, 2017. "The Catholic convert who founded the Society of the Atonement, Father Paul Wattson, S.A., could be one step closer to recognition as a saint." 
  7. "US Conference of Catholic Bishops endorse sainthood cause for Fr. Paul Wattson", Crux Catholic Media, November 19, 2014. "On November 11, 2014, the U.S. Conference of Catholic Bishops endorsed the cause for canonization of Father Paul Wattson, SA, Servant of God, founder of the Franciscan Friars of the Atonement, at their fall meeting in Baltimore." 
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.