Dawa ya famasia

(Elekezwa kutoka Pharmaceutical drug)

Dawa ya famasia (kwa Kiingereza pharmaceutical, medicament au drug) ni dawa inayotumika kwa upimaji, tiba na kinga ya maradhi.[1][2][3]

Maboksi ya vidonge.

Namna ya kutumia dawa (kwa Kiingereza pharmacotherapy) ni sehemu muhimu ya uganga wa kisayansi na inategemea fani ya utengenezaji wa dawa (pharmacology) kwa ajili ya ustawi wa mfululizo na inategemea ufamasia kwa matumizi ya kufaa.

Dawa hizo zinaainishwa namna mbalimbali, kama vile kulingana na mtaalamu gani anaweza kuziagiza kwa mgonjwa, au kulingana na asili ya dawa, au kulingana na lengo la tiba. Shirika la Afya Duniani lina orodha ya dawa muhimu zinazotarajiwa kupatikana kokote.

Utengenezaji wa dawa unahitaji kazi na gharama kubwa ambazo kwa kawaida ni juu ya wanasayansi na kampuni za kifamasia. Kwa kawaida serikali inaratibu biashara ya dawa.

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dawa ya famasia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.