Philadelphia 76ers

Philadelphia 76ers ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Philadelphia, Pennsylvania. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Joel Embiid, Ben Simmons.

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Philadelphia 76ers kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.