Phnom Aural ni mlima wenye kimo cha m 1,813 juu ya usawa wa bahari.

Mlima Phnom Aural

Ndio mrefu kuliko yote ya Kamboja, nchi ya Indochina.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Phnom Aural kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.