Pichincha

Pichincha ni mlima wa Andes katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).

Rucu Pichincha and Trail.jpg

Urefu wake ni mita 4,776 juu ya usawa wa bahari.

Tazama piaEdit