Pico Bolívar ni mlima wa Andes katika nchi ya Venezuela (Amerika Kusini).

Mlima Pico Bolívar

Urefu wake ni mita 4,981 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri