Pinnipedia
Sili-mtawa wa Mediteranea (Monachus monachus)
Sili-mtawa wa Mediteranea (Monachus monachus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia ya juu: Pinnipedia (Wanyama wenye miguu-mapezi)
Illiger, 1811
Ngazi za chini

Familia 3:

Pinnipedia ni jina la kisayansi la familia ya juu iliyo na sili, simba-bahari, sili-manyoya na walarasi ndani yake.

Mwainisho hariri

Familia ya juu Pinnipedia