Monte Pissis

(Elekezwa kutoka Pissis Monte)

Monte Pissis ni mlima wa Andes katika nchi ya Ajentina (Amerika Kusini).

Muonekano wa barafu Monte Pissis.

Urefu wake ni mita 6,774 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri